Ads

ROBERT KNEPPER APATA SHAVU.....

Adui mkubwa kwenye show ya Prison Break aliyetumia jina la ‘T-Bag’ aka Robert Knepper amepata shavu la 
kuigiza kwenye show ya Homeland msimu wa sita.
Knepper aliigiza vizuri sana kama T-Bag kwenye Prison Break na tayari wamesha rekodi ujio mpya wa PB na ameendelea kuonekana.
Kwenye Homeland ataigiza kama “General Jamie McClendon” na atakuwa kwenye upande wa serikali “Department of Defense” kazi yake ikiwa kumpa data rais juu ya maswala ya ujasusi na ugaidi nchini.
Msimu wa sita wa Homeland utaonekana kwa mara ya kwanza mnamo January 15th.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.