Rio 2016: Takwimu muhimu kuhusu michezo ya Olimpiki........
Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Rio ulizimwa Jumapili, na kufikisha kikomo siku 16 za michezo na mashindano ya kusisimua.
Wanamichezo 10,000, waliowakilisha mataifa 207, walishiriki katika michezo 31 nchini Brazil na kushindania nishani 306.
Rekodi zilivunjwa, historia ikaandikwa, magwiji wakabainika na nyota wapya wakazaliwa.
Hizi hapa ni takwimu muhimu kutoka kwa michezo hiyo:
Marekani bado inaongoza
Miamba wa aina moja ya mchezo ...
No comments