Ads

Mkuu wa Mkoa Paul Makonda Aibiwa Simu.......


Image result for paul makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salamm, Paul Makonda ameibiwa simu jana baada ya kufanya kikao na waandishi wa habari alipokuwa na balozi wa Korea nchini na aliporudi ofisini na kutaka kumpigia mtu simu ndio alibaini simu haionekani.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.