Ads

Yaya toure kuondoka Man city....

Mchezaji wa Manchester city Yaya Toure huenda akaondoka klabuni hapo Mara baada tu ya msimu huu kumalizika kwataarifa zilizo ripotiwa kutoka klabuni hapo zinasema kuwa Yaya toure ataondoka Manchester city mwishoni mwa msimu huu kwakua hata mkataba wake utakuwa umemalizika .swali je toure ataelekea wapi,Hispania,ubelgiji,ujerumani au atarudi kwao?

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.