Ads

Msikie wenger anachokisema...

Kocha wa Arsenal Arsen Wenger amesema kuwa kwa mechi ijayo dhidi ya vinara wa ligi Lencier City haimpi mpresha kwani kikosi chake nipo vizuri kukabiliana na vinara hao.wenger alisema kuwa leongo lao nikuwapiku Lencier kwa kuhakikisha wanashinda michezo ijayo ikijumuisha huo wao dhidi ya Lencier.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.