Ads

Haya chelsea kazi kwenu...

Jana jumatatu klabu ya Chelsea baada ya kukaa muda mrefu umeamua kuvunja ukimya nakumtangaza kocha mpya kuinoa klabu hiyo.The blues imemtangaza Antonio Conte kuwa kocha mkuu wa Chelsea.Conte ambaye ni kocha mkuu wa Italia ametambulishwa rasmi Jana huko stamform bridge.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.