Ads

Manchester United hoi lakini....

Wikiendi hii ilienda vizuri kwa baadhi ya timu za huko majuu lakini kwa Man u ilikua nisiku ya kufa nyani walijikuta wakifungwa magoli 3-0 na Tottenham hotspas. Kauli iliyotoka kwa wamiliki wa timu ya Mashetani hao wekundu ni kwamba kila mchezaji atakatwa mshahara wake kiasi cha pauni milioni 14.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.