Ads

Mambo matatu ameyaandika Rais Magufuli leo...

Image result for magufuli
Leo May 27, 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais Magufuli ameandika mambo matatu kuhusu ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga ambapo Rais ameitaja hiyo kama njia ya fursa kwa wawekezaji.
Nimekuwekea hapa mambo matatu aliyoandika Rais.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.