JIFUNZE JUU YA MZUNGUKO WA MWANAMKE NDANI YA MWEZI.........................
Imekuwa kama jambo la kawaida kwa
jamii ya kisasa hasa wanawake kutoelewa
mzunguko wao wa mwezi nakujikuta wakipata mimba zisizo tarajiwa.Lakini kwa
upande mwingine tatizo kubwa lipo kwa baadhi ya wanaume ambao wameshindwa
kuuelewa mzunguko mzima wa wake zao halikadhalika kwa wale wapenzi.
HEBU LEO TUJIFUNZE JAPO KWA UFUPI
JUU YA MZUNGUKO MZIMA WA
MWANAMKE NDANI YA MWEZI(HEDHI)
Kama inavyojulikana mwezi unakuwa
na siku 30 basi mzunguko wa mwanamke nao unakuwa kama ifuatavyo.
·
HEDHI, idadi kubwa ya wanawake huwa mara
nyini huingia hedhi kwenye tarehe 1,2,3,4 na 5 ambapo kipindi hiki huwa
kunakuwa na hali ya kutokwa na damu nyingi(bleeding). kipindi hiki damu nyingi
huwatoka kitendo kinachopelekea kupata maumivu ya tumbo.Pia hapa mwanamke anakuwa
na hasira za karibu na kuchukia kitu au jambo pasipo na sababu za msingi.
·
SALAMA,Baada ya maumivu hayo na kutokwa na damu siku tabo(wiki moja),
mwanamke huanza kujisikia vizuri siku ya sita.Hapa mwanamke anakuwa salama
nahii nikuanzia tarehe 6,7,8,9,10 na hapa huwa inashauriwa kwa wale wapenzi au
wanandoa kama umeamua kufanya tendon a mwenza wako basi tumia kinga(kondom)
mana japo nisalama lakini ni kwa asilimia chache.
·
HATARI,Hapa ndipo watu wengi wanapokosea
nakujikuta wakifanya mambo yasiyotarajika(mimba za utotoni,mimba zisizo
tarajiwa…), lakini Kama utakuwa mwelewa
kwa nilichokisema hapo juu basi mana yake ni hii hapa, siku tano za pili ndani
ya mzunguko wa mwanamke ambazo ni siku ya 6 hadi ya kumi hapa nisalama lakini
nihatari pia kwasababu siku nane zinazofata ambazo ni tarehe
11,12,13,14,15,16,17, na 18 hizi ni siku za hatari sana kwani nirahisi kwa
mwanamke kupata ujauzito.
·
SALAMA, Ukizizitoa zi siku tano za kwanza,
pili na siku nane za tatu ndani ya mwezi mmoja ambazo ukizijumlisha unapata jumla
ya siku kumi na nane(18), hapa kuna siku kumi za mwisho ambazo mwanamke huwa
salama na inaruhusiwa kufanya tendo na
mwenza wake hii inakuwa nikuanzia tarehe 19,20,21,22,23,24,25,26,27, na
28..
Japo ni kwa ufupi tu lakini
natumaini utakuwa umejifunza machache juu ya swala zima la mzunguko wa mwezi wa
mwanamke(hedhi) na natumaini umeelewa.
Ushauri kwa wale wenye mahusiano
nivyema kujua siku za hatari kwa kwa mwenza wako hii itakusaidia kuepusha mimba
zisizo tarajiwa.
Imeandaliwa na Ally mshana
No comments