Ads

Msanii TID Ajisifu Kumkaza Wema Sepetu Akiwa Jukwaani..Mashabiki Nusura Wazire..........

Katika usiku wa RnB ulioandaliwa na the Bridge show ya mlimani TV, line up ya wasanii kadhaa iliperform lakini mnyama TID ambaye amekwisha kutajwa kama moja ya mastaa waliowahi kudate na Wema Sepetu alisuprise sana watu kwa kitendo cha kujisifu jukwani kwamba amewahi kumkaza msanii wa bongo movie Wema sepetu kitendo ambacho kilifanya baadhi ya mashabiki kujisikia vibaya na kuanza kumzomea
 hii hapa ni video wakati akizungumza maneno hayo.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.