lilisababisha mauaji ya wenzao nchini Hungary
Polisi wamethibitisha bomu la kienyeji
Polisi nchini Hungary wanasema mlipuko wa Budapest usiku wa Jumamosi uliowajeruhi maafisa wawili wa polisi ulisababishwa na bomu la kienyeji.
Mkuu wa jeshi la polisi wa Hungary Karoly Papp amesema ofisa wa polisi aliyekuwa kwenye doria akitembea kwa miguu alilengwa na shambulio hilo.
Kwa sasa wapo katika hali nzuri wakiwa hospitalini.
Mtu anayeshutumiwa kutekeleza shambulizi hilo, anaelezewa kuwa ni kijana wa miaka ishirini, bado hajapatikana.
No comments