Ads

Hebu angalia walichokifanya Nuhu na Shishi wakiwa kwenye basi la fiesta....

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha tv clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Lakini walipokutana kwenye basi Shilole alimuambia Nuh Mziwanda yaishe na kumwambia yupo kwa ajili yake na kumwagia mabusu mazito, maswali mengi nikwamashabiki kwaba je hiyo ndo nia mojawapo yakurdiana wanabifu hao ama nini maana yake? 

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.