Ads

Baada ya derby kumalizika midomo sasa Haifunguki tena.........

Jana kuna baadhi ya michezo ioliyopigwa huko Uingereza na moja kati ya mchezo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa hapa nchini na huko kwa wenyeji mchezo uliowakutanisha mahisimu wawili wa mji wa Manchester hapa nawazungumzia watoto wa mjini Manchester City na waporipori Manchester United.

Kelele nyingi zilipigwa, mtaani palikuwa hapatoshi kwa baadhi ya mashabiki wa timu hizo kutambiana lakini ukweli na midomo ilikuja kufungwa na muamuzi amabaye ni dakika 90.

ilikuwa ni dakika ya 15 mchezaji Kelvin De Bruyne aliweza kuifungua nuru ya mchezo huo baadha ya kufunga goli la kuongoza na kuwafanya mashabiki wa mashetani wekundu kubaki na sinto fahamu.

Lakini kumbe watoto wa mjini hawakuwa wakimaanisha kuwa wanawahurumia mapacha wao kwakuwafunga goli moja tu lahasha dakika ya 36 Kelechi Iheanacho aliweza kuongeza goli la pili na akawaambia mapacha wao kuwa japo wao wanatoka kwa baba moja na mama mmoja(Jijini Manchester), lakini watajuta kwanini wao walilelewa na na mama hivyo baba yao kawatuma kufanya kazi.

Dakika ya 42 Ibrahimovic aliweza kuifungia Manchester United goli la kufuta machozi ambapo mpaka mpira unamalizika Manchester City wakaondoka na ushindi dhidi ya mahasimu wao Manchester United.




matokea mechi za EPL 




Manchester Unt  vs Manchester City(1-2)
Image result for man city vs man utd


Liverpool vs Lencester Cuty(4-1)

Image result for liverpool vs leicester 2016

Arseanl vs Southeamptom(2-1)
Image result for arsenal vs southampton



Stoke City vs Totenham Hotspurs(0-4)

Image result for stoke vs tottenham live stream


24 hours blog

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.