Ads

Raia wa Congo na Malawi Wakamatwa Wakifanya Kazi Katika Taasisi za Serikali...




DAR: Idara ya Uhamiaji imewakamata raia wawili wa Congo na Malawi waajiriwa Serikalini. Mmoja alikuwa mfanyakazi wa TANESCO mwingine Mganga Kituo cha Afya Mburahati.

Raia huyo mmoja wa Congo anatuhumiwa kuingia nchini mwaka 1986 na kufanya kazi katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kinyume na sheria za nchi.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.