Ads

Mashabiki wa A.madrid wamemlaumu refa kwa.....

Reafarii aliye chezesha mchezo wa Jana kati ya Barcelona na A.Madrid amejikuta akilaumiwa na baadhi ya mashabiki wa A.Madrid kwa kumpa mshambuliaji F.Torresi kadi nyekundu dakika ya 35 ya mchezo.Toresi aliipatia A.Madrid goli kwenye dakika ya 25 lakini alikuta akonyeshwa kadi nyekundu kwenye dakika ya 35 nakufanya kikosi kupunguza kasi ya ushambuliaji.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.