Ads

iniesta man of the match

kwa wale wapenzi wa michezo kama hukufanikiwa kuungalia michezo kati ya Barcelona na R,Madrid juzi juma mosi Madrid waliibuka na ushindi wa magoli 2-1 magoli ya Madrid yakifungwa na C,benzema na C,ronaldo huku goli la Barca likifungwa na J,pique lakini ukweli ni kwamba licha yakujulikana kuwa BBM na MNS iko vizuri lakini mchezo huo A,iniesta ndiye alieonekana kuwa man of the match

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.