ONGEZAMVUTO WAKO NA ALVERA SALOON...
Fursa kwa kina dada, unaanzaje kukosa kupendeza wakati uzuri unao, niwakati wako sasa pendeza na ALVERA SALOON ili kuutoa muonekano wazamani na kuonekana mpya.ALVERA SALOON ni saloon ya kisasa ilyopo ukonga mombasa nyuma ya kituo cha magari yanayoenda Gongo la mboto.
ALVERA SALOON wanatoa huduma kama vile scrubing, wanashonea mawiving, wanatengeneza kucha, wanakodisha mashela kwa maharusi na huduma nyingine nyingi.
utakapofika ALVERA SALOON utakutana na warembo walobobea katika urembo na lazima uondoke ukiwa mrembo.
kujipatia huduma hizi na nyinginezo wewe mwanadada unaweza wasiliana nasi kwa simu namba
call
No, 0656126998
au
0654938966
No comments