Ads

KAMA ULIMISI BASI HII HAPA VIDEO SHOW YA DIAMOND CONGO...

Image result for diamond wasafi
Mwimbaji Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz alikuwa miongoni mwa watu walioalikwa kwenye tamasha la Siku ya Uhuru wa DRC ambapo alipata nafasi ya kupanda kwenye stage akiwa na Band yake mjini Goma.
Nimekusogezea VIDEO ikimuonesha Diamond Platnumz akiperform kwenye Stage!!!
Chanzo  millard ayo

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.