Ads

Rais Kenyatta Atangaza Adhabu ya Kifo kwa Atakaye Haribu Treni yake.....





Muda mchache jana baada ya kuzindua Miundombinu ya Reli ya Kisasa Jijini Nairobi, Rais Uhuru Kenyatta alindika kwenye ukurusa wake wa Twitter kuwa "Sitosita kusaini adhabu ya kifo kwa yeyote atakaye patikana na hatia ya kuharibu miundombinu ya reli, kwakuwa atakuwa amehujumu uchumi"



Itatumia muda wa saa nne na nusu kutoka Mombasa hadi Jiji la Nairobi,, Awali wasafiri walikuwa wakitumia takriban saa 8 kwa njia ya basi,


Reli hiyo ina urefu wa kilomita 472 ambapo treni zitakuwa zikisafiri kwa kasi ya wastani ya kilomita 120 kwa saa na kutumia muda wa saa nne na nusu kutoka Mombasa hadi kufika Jiji la Nairobi, ikiwa ni safari ambayo ilikuwa ikitumia takriban saa 8 kwa njia ya basi.


Baadhi ya wananchi walioshuhudia uzinduzi huo wamesema treni hiyo itakuwa mkombozi kwao kwa madai kuwa hapo awali walikuwa wanapata shida kubwa katika kusafiri kutoka Mombasa hadi Nairobi.


"Hakika ni develepment ya maana sana kwa maana upande wa transport kitambo ilikuwa inachukua muda mwingi sana kwa gari kutoka Mombasa hadi Nairobi lakini hii nasikia inachukua masaa manne so itakuwa ni imetupeleka 'far with other developed courients" alisema Samuel Umma kutoka kaunti ya siaya

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.