Ads

Yule Mamba aliyekuwa akiwanyima Watu Amani hatimae Auawa


Wanachi wa Kamanga Ng'ambo nje kidogo ya mji wa Mwanza jana walifanikiwa kumuua yule Mamba aliyekua anasumbua Watu na Abari katika eneo hilo.

Mamba huyo yasemekana ivi siku za karibuni aliwala Watu 3 Watoto 2 na Mvuvi mmoja mpaka kupelekea wananchi wa Kamanga kupeleka malalamiko yao kwa wahusika wa wanyama pori.

Habari kamili ni kwamba jana mida ya saa 9 jion ndio Mamba huyo alipopatwa na kupigwa risasi na askali wa wanyama poli.


Angalia Baadhi ya picha za mamba huyu..



Baadhi ya wanakijiji wakimchuna Ngozi mamba huyo..


Muungwana blog

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.