Ads

Tazama Rayvan na Harmonize Walivyopokelewa Burundi...........


Aisee ama kweli nabii hakubaliki kwao,daah waliotunga huu msemo walikuwa ma generous sana kwa kweli

Licha Rayvan na Raj boy Harmonize kuonekana sio lulu kwa kiasi hicho hapa nchini lakini Burundi huwaambii kitu kuhusu hawa madogo maana walivyopokelewa utadhani ulikuwa msafara wa Barack Obama ,sasa hapo wameenda watoto je angeenda baba la baba Chibu dee Diamond Platinums ingekuaje????

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.