Ads

Ban Ki-moon akosoa pendekezo la Netanyahu kuhusu upanuzi wa makazi ya Israel......

Upanuzi huo ni kinyume na sheria za umoja wa mataifa

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon amemkosoa vikali waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa pendekezo lake kwa wale wanaopinga upanuzi wa makazi ya Israel kuwa wao ni wafuasi wa kikabila.
Ban Ki-moon amesema kuwa maoni ya Netanyahu hayakubaliki na ni ya kichochezi.
Ban Ki-moon ambae anaondoka madarakani mwisho wa mwaka huu amewakumbusha Israel kuwa upanuzi huo wa makazi sio halali chini ya sheria ya kimataifa, na kwa lugha ya ukali Ban Ki-moon alisema Urusi lazima imalize ukandamizaji na uvamizi wa maeneo ya Palestina.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.