Ads

Mchezo wa marudiano kati ya Yanga na El Ahal ya.....

Leo no kutapigwa mchezo wa marudiano kati ya Yanga na El Ahal ya Misri utakaopigwa huko Cairo misri.Katika mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka sare ya goli moja kwa moja mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jiji Dar es Salaam.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.