Manchester United waendelea kubaki katika nafasi ya 5 baada ya kutoka sare ya bila kufungana na mahasimu wao Manchester City ambao wanashikilia nafasi ya 4.
Katika mchezo huo Manchester United walijikuta wakibaki kumi uwanjani baada ya mchezaji wao Maroane Fellain kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 84.
MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND(EPL)
No comments